Compositor: Harmadizo / Zaireano Noh Tsoka
Essa pobreza nos mata
Razão pela qual estamos a trabalhar
Arrajando meio como ultrapassar ela, My baby
My baby, não chora grandes coisas vão acontecer
Não pensa só muito na vida ainda podes cometer
Njoo ujipendeze kidogo
Njoo ujipendeze kidogo
Njoo ujipendeze kidogo, kidogo, kidogo
Njoo ujipendeze kidogo
Njoo ujipendeze kidogo
Njoo ujipendeze kidogo, kidogo, kidogo
Só são fazes da vida tudo isso, madamy tens que entender
Não te quero ver mais triste, desse jeito vou começar a chorar
Njoo ujipendeze kidogo
Njoo ujipendeze kidogo
Njoo ujipendeze kidogo, kidogo, kidogo
Nakuomba mpenzi vumilia
Riziki mola ndo anaetoa
Ila chunga usije nikimbia
Utaniua mamaa
Mboga mboga nguru vibamia
Mchicha si tutajilia
Nikizipata nitakugea
Ili usiende mamaa
Mapenzi ni watu wawili
Siri usinikatiri
Unavyonikumbata mwili
Mwenzako mi nacheza kachili
Dua zako zidisha usijari
Siku ntakuhonga ka gari
Namimi nimiliki mali
Mi nakupenda sana
Njoo jisogezee kidogo
Aah mama kidogo
Basi sogeza kidogo
Kidogo kidogo
Njoo jisogeza kidogo
Aah mama kidogo
Basi zungusha kigogo
Kidogo kidogo